OKTOBA 5-7, 2026
Kituo cha Mikutano cha Mlimani City
Dar es salaam

MKUTANO WA AFYA TANZANIA 2026

Tuzo ya Afisa Bora wa Afya ya Umma

Uteuzi wa Afisa Bora wa Afya ya Umma

Mkutano wa Tanzania Health Summit unamtambua mfanyakazi wa afya ya umma ambaye amehudumu na kuonyesha ushiriki mkubwa katika jamii zao kutoa huduma za afya.

Vigezo vya Uteuzi

  1. Kuishi na kufanya kazi nchini Tanzania kwa muda usiopungua miaka miwili.
  2. Ana rekodi bora ya huduma katika eneo lao la kazi (km jukumu la kupunguza vifo vya uzazi, magonjwa ya kuambukiza n.k.).
  3. Anafanya kazi kama mfanyikazi mkuu katika utetezi wa afya nchini Tanzania

Fomu ya Uteuzi

Jiunge na THS Free Tour

Tuna nafasi chache tafadhali jisajili kwa THS 2023 ili kuokoa nafasi yako.