Matunzio ya 2026 Mkutano wa 12 wa Afya wa Tanzania uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Mlimani City. 5-7 Oktoba 2026.Zaidi ya washiriki 1,740 walihudhuria, na wageni 1,680 wa maonyesho Baadhi ya kumbukumbu nzuri katika safari yetu hii Asante kwa uwepo wako katika 13th Mkutano wa Mwaka 2026 KWA PICHA ZAIDI